Nafasi za Miradi ya Muda Mfupi / Mafunzo (Internship)
NAFASI ZA MIRADI YA MUDA MFUPI / MAFUNZO KWA VITENDO (INTERNSHIP)
WAHI GROUP inatafuta waombaji kwa ajili ya nafasi za muda mfupi za miradi na mafunzo kwa vitendo (internship) zifuatazo:
- Mhandisi wa Ujenzi (Civil Engineer) – 1
Awe amehitimu Ngazi ya Shahada / Diploma / FTC - Fundi Sanifu wa Ujenzi (Civil Engineering Technician) – 1
Awe na NTA Level 6 au sifa inayolingana na hiyo - Mpima Ardhi (Land Surveyor) – 1
Awe amehitimu Ngazi ya Shahada
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Muda wa Maombi: 26–30 Septemba 2026
Tuma maombi kupitia: info@wahigroup.co.tz
Tafadhali wasilisha CV yako na vyeti vyako vya taaluma. Ni wale tu watakaopita kwenye mchujo ndio watakaowasiliana na kuitwa.